Katika nafasi uliyonayo unaweza kufanya kitu kwa ajili ya jamii yako if u want, sitegemei kukusikia ukitaja mbunge akufanyie kama unajua hafanyi..imagine this kama wasomi tunauwezo wa kufanya lobbying kwa mashirika mbalimbali ya kijamii kwa ajili ya ujenzi wa nyumba bora..kubuni miradi kwa ajili ya vijiji..kufanya fund raising kwa ajili ya upitishaji wa umeme n.k... tatizo wakuu hamtaki kurudi bongo na kuleta huo utaalamu wenu nyumbani...mimi nitajaribu kwa nafasi yangu na kwa kushirikiana na waliotayari kufanya kitu katika jamii yangu
Mungu ibariki tanzania.