Hivi nyumba za vijijini zisizo na umeme serikali mnampango gani nazo??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,722
21,775
Jamani kuna mikoa sijui imesahaulika ama imelaaniwa
kuna mikoa hata nguzo ya umeme uioni.....wanasikia tu
kweli kuna mikoa waanaamini bado rais ni julius nyerere
na si jakaya kikwete ila hili si swala la kuwakatisha kuwapa haki
zao kama watanzania...embu ngeleja kwa nini usishugulike na hivi vijiji
kama ulvyopeleka kwako umeme ....bahati mbaya ulikuwa unadanganywa
kuhusu maji ulipoambiwa wazee wameamua kukutema ukawahi kuja fasta
na kujifanya unaamrisha mradi uliolipiwa hela miaka mitatu watu wamekula
hela leo unalazimisha maji yafunguliwe yatokee ******
embu tusiwe wabinafsi nyie viongozi kumbukeni kutembelea seehemy nyingine baada ya vijiji vyenu mpate thawabu kwa mungu
 
Kuna Rural Electrification Project.. imeanza na inaenda taratibu.. sijui imefikia kiasi gani hadi hivi sasa..
 
YAANI MWANA KIJIJI KUNA VIJIJI NI AIBU ,,,unaweza jiuliza hawa watu wana mbunge ama diwani>>>anyway tuwasubbiri
 
Nafikiri kabla ya kukimbilia kwenye umeme tujiulize ubora wa nyumba zenyewe za vijijini ukoje kuna nyumba zinaitwa full suit kuanzia chini zimeezekwa kwa nyasi hadi juu hata wiring sijui itapitia wapi kwanza tujiulize ni kipi kitangulie nyumba bora au umeme uanze
 
hii Thread ni pasua kichwa, ni kujiumiza kichwa na kujipa hasira ambazo hazina majibu, ni kukaa pembeni huku mkono shavuni na kuangalia tu
 
Nafikiri kabla ya kukimbilia kwenye umeme tujiulize ubora wa nyumba zenyewe za vijijini ukoje kuna nyumba zinaitwa full suit kuanzia chini zimeezekwa kwa nyasi hadi juu hata wiring sijui itapitia wapi kwanza tujiulize ni kipi kitangulie nyumba bora au umeme uanze
Nadhani that is not the point mkuu. point ni kwamba kwa wanaohitaji na wanasifa watapata lini umeme?. Na pia sidhani ni jukumu la serikali kuwajengea wananchi nyumba.
 
kijijini kwetu sisi hatuhitahi umeme hatuna huduma za maji,hatuna hospital,barabara mbaya tuna shida sie mbunge tunae tena wa muda mrefu,sijui matatizo tunayo sisi wanakijiji kwa kumchagua mbuge miaka ishirini hajafanya lolote mpaka sasa lakini bado tunamchagua au inakuwaje sipati majibu
 
Katika nafasi uliyonayo unaweza kufanya kitu kwa ajili ya jamii yako if u want, sitegemei kukusikia ukitaja mbunge akufanyie kama unajua hafanyi..imagine this kama wasomi tunauwezo wa kufanya lobbying kwa mashirika mbalimbali ya kijamii kwa ajili ya ujenzi wa nyumba bora..kubuni miradi kwa ajili ya vijiji..kufanya fund raising kwa ajili ya upitishaji wa umeme n.k... tatizo wakuu hamtaki kurudi bongo na kuleta huo utaalamu wenu nyumbani...mimi nitajaribu kwa nafasi yangu na kwa kushirikiana na waliotayari kufanya kitu katika jamii yangu
Mungu ibariki tanzania.
 
A:
mabadiliko wanayotaka kijijini sio sawa na sie tunayotaka mjini. kagrea wanavijiji ukiwaliza wankumbia watfurahi wakiruhusiwa kuuza kahawa yao kwa mtu yeyote iwe uganda lakini sivyo ilivyo. Wanakijiji wa Ngoro Ngoro shida yao wanaweza kuwa waruhusie japo kuwinda mboga lakini wapi. The true Problem in our village ni sisi watu wa mjini kujaribu kufikiria kuhisi tunajua matatizo yao zaidi ya wao wenyewe.

B: Na kama umeme ni hitaji je
Wanavijiji wana hela ya kulipa hizi bili za TANESCO amabzo ni kubwa africa mashariki na kati ? Au unamaanisha vijijini ndio ukifika wanavijiji washuhudie nguzo zinapita tu kwenda kwa waheshimiwa wa chache walio mjini.

Kama wako serious . In that project they should think of having VILLAGE TARRIFS ambazo labda sisi wa mujini itabidi tuzigharimie . Othewise itakuwa kupeleka umeme Kijijini kwa mtazamji anafungiwa umemem sababu yeye ni wanakijiji wa mjini. na mwanakijiji wa kweli yeye anashuhudia nguzo tu.
 
Katika nafasi uliyonayo unaweza kufanya kitu kwa ajili ya jamii yako if u want, sitegemei kukusikia ukitaja mbunge akufanyie kama unajua hafanyi..imagine this kama wasomi tunauwezo wa kufanya lobbying kwa mashirika mbalimbali ya kijamii kwa ajili ya ujenzi wa nyumba bora..kubuni miradi kwa ajili ya vijiji..kufanya fund raising kwa ajili ya upitishaji wa umeme n.k... tatizo wakuu hamtaki kurudi bongo na kuleta huo utaalamu wenu nyumbani...mimi nitajaribu kwa nafasi yangu na kwa kushirikiana na waliotayari kufanya kitu katika jamii yangu
Mungu ibariki tanzania.

Mkuu naswali la kukuuliza kama serikali haifuati kikamilifu policy zake za kuleta maendeleo na wanachi tukajenda nyumba hospitali mashule visima barabara by raising funds form elsewhere...kwanini tunalipa kodi or better yet serikali ya nini??
 
Kuna Rural Electrification Project.. imeanza na inaenda taratibu.. sijui imefikia kiasi gani hadi hivi sasa..

Mwanakijiji naona umekaa sana Marekani na kusahau mambo ya bongo. We have almost everything in paper, lakini we are doing almost nothing. Kama hakuna mtu atakayefanya juhudi ya kujiletea umeme asahau. Kama wanavijiji na wabunge wao hawatafanya kazi kujipatia hayo, then they should forget it.

Hizi thread tuzitunze sana ninahakika miaka 20 ijayo kama tukiwa hai, au watakaokuwa hai wakisoma, watagundua kuwa hali ni ile ile.
 
Back
Top Bottom