Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,721
- 21,778
Jamani kuna mikoa sijui imesahaulika ama imelaaniwa
kuna mikoa hata nguzo ya umeme uioni.....wanasikia tu
kweli kuna mikoa waanaamini bado rais ni julius nyerere
na si jakaya kikwete ila hili si swala la kuwakatisha kuwapa haki
zao kama watanzania...embu ngeleja kwa nini usishugulike na hivi vijiji
kama ulvyopeleka kwako umeme ....bahati mbaya ulikuwa unadanganywa
kuhusu maji ulipoambiwa wazee wameamua kukutema ukawahi kuja fasta
na kujifanya unaamrisha mradi uliolipiwa hela miaka mitatu watu wamekula
hela leo unalazimisha maji yafunguliwe yatokee ******
embu tusiwe wabinafsi nyie viongozi kumbukeni kutembelea seehemy nyingine baada ya vijiji vyenu mpate thawabu kwa mungu