kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
Simba na mbeya city mmetoa Droo - Hawakufanya vurugu
Simba na Coast union mmetoa Droo - Hawakufanya vurugu
Simba na yanga mmetoa Droo - Walifurahia sana
Simba na kagera mmetoa Droo - Kulikoni?
Nyinyi mashabiki mbona mmeonyesha akili ndogo sana, mmngoa viti vya uwanja sasa mmpeta faida gani. Timu yenu ikinyanganywa point 10 mtalalamika.
Duniani kote sheria ya fifa kama mashabiki wa timu Fulani wakifanya vurugu timu husika lazima ipewe adhabu kali. Na hapa ndipo kipimo kikubwa cha uwezo wa uongozi wa Jamali Malinzi. Simba lazima ipewe adhabu kubwa sana, alllaaa!!!!