We Rudi kwenu subiri tuwaletee maiti mzike maana hata hela ya kuja msibani tukiamua kuzika huku mjini huwa hamna kitu.Habarini
Nilikuja kutoa matongotongo kidogo Dar na leo ninapoandika ujumbe huu natoka Kariakoo narudi zangu huko ambako hasa ndio tunazalisha chakula.
Nimefika Kariakoo nikasema ngoja nitafute chochote cha kuwabebea watoto,lahaulaaa la kwata!!, Nimeshindwa kuendelea kuzunguka njia zimejaa watu hata kutembea na mafua yatatuacha kweli?
Lakini mbaya zaidi joto ni kali sana,suruali inaloa,shati nililovaa limelowana na jasho.
Je hali hii ni ya kawaida kwenu mnaokaa hapa mjini? Kwetu mwaka huu kuna joto ila si kama huku.
Poleni sana watu wa Dar,je mnahimili vipi hali hii,na wanaokula matunda kwa masihara wanafanyeje kwenye hali hii kama mfuko umelegea kwenda kwenye nyumba zenye viyoyozi?
Ila nimegundua pia wasichana wa Dar machi juu sana ndio maana hata ule uzi wa Riki boy unapata umaarufu
Povu ruksa maana nimesweti sana
HahaaaaWe Rudi kwenu subiri tuwaletee maiti mzike maana hata hela ya kuja msibani tukiamua kuzika huku mjini huwa hamna kitu.
Kalime mahindi ule sisi tuache na mji wetu ukiona joto unawasha AC maisha yanaendelea.
Cha muhimu umepata Cha kuwasimulia wa mkoani wenzio kasubiri tukija tiwanunulie bia maana huwa mnasubiri tuje tuwaachie viatu, mashati begi nk.
Kwa kweli hili joto halibariki kabisa kumenyana, na hivi wengine hatupendi hizi mambo kwenye AC ndio kabisa inabidi kuwa na "long holidays"Ila muda huu huu kuna binadamu wawili wako Lodge wakisuguana miili yao.
Wewe ni muumini wa uzi afadhali umetufahamisha tabia yakoHabarini
Nilikuja kutoa matongotongo kidogo Dar na leo ninapoandika ujumbe huu natoka Kariakoo narudi zangu huko ambako hasa ndio tunazalisha chakula.
Nimefika Kariakoo nikasema ngoja nitafute chochote cha kuwabebea watoto,lahaulaaa la kwata!!, Nimeshindwa kuendelea kuzunguka njia zimejaa watu hata kutembea na mafua yatatuacha kweli?
Lakini mbaya zaidi joto ni kali sana, suruali inaloa, shati nililovaa limelowana na jasho.
Je hali hii ni ya kawaida kwenu mnaokaa hapa mjini? Kwetu mwaka huu kuna joto ila si kama huku.
Poleni sana watu wa Dar, je mnahimili vipi hali hii, na wanaokula matunda kwa masihara wanafanyeje kwenye hali hii kama mfuko umelegea kwenda kwenye nyumba zenye viyoyozi?
Ila nimegundua pia wasichana wa Dar machi juu sana ndio maana hata ule uzi wa Riki boy unapata umaarufu
Povu ruksa maana nimesweti sana
😁😁😁😁Tafuta hela blaza dar hamna joto