Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 21,236
- 36,266
Hawaji kujibu, hata ukiwaita kwa majina ukianzia na Yule gwiji lao Kasie, Miss Natafuta , Miss aishi Miss b75 , miss chagga ,miss fortune , miss chuga ,Miss Buha , miss chabe , Miss Chaupele , Miss Cherry , Miss Chipupwe , Mis powers , Miss Mbeya nk
Hapo kwa gwiji ungeanza na bibi yao mama wengine wote mamiss 😝.
Huyu baba kwenye video hapo chini amedadavua.... msikilize 🤪