jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
Kila kitu pasu kwa pasu hata papuchi itakuwa pasu kwa pasu.hivi wanawake mmekuaje mbona siwaelewi vile hasa wa mjini mmekuja kua tegemezi hasa mnapopata boyfriend mpya
mara naomba hela ya vocha,mara ya saloon,mara kodi ya nyumba imekwisha,mara nitoe out bill ikija alipe mwanaume wewe kimyaaa,hv hamjui kuwa na sisi tunamajukum ya kulea wazazi?au mnafikiri hizo hela tunaokota?
eti ndo mnataka haki sawa,kama mnapenda kuomba kaen na mabakuli njian tutawasaidia.naomba niwaeleze sasa hv
kila kitu pasupasu hakuna kumtegemea mwenzio wizi mtupu.ukimpa hela utaitwa majina yote mara honey apple dear
wizi mtupu.na siku hizi wameanzisha mtindo eti hata ukijamba anakupa pole honey hujaumia,nan kakwambia kupumua unaumia?NAOMBA TUHESHIMIANE..........
Hivi nanyi wanaume wa siku hizi mmekuaje?
ukiombwa vijisenti unakuja kuanzisha thread kama una hela za mawazo si uache tutapewa na mapapaa?
kwani unshikiwa bunduki jamani......
Kila kitu pasu kwa pasu hata papuchi itakuwa pasu kwa pasu.
Uwiiiiii umemwaga maji ya moto kwenye mzinga wa nyuki, wangoje tu wapo lunch wanakuja sasa hivi
Aaah mpe hyo vidonge vyake akiweza ameze akishindwa ateme...shaur yke
kwa nin uwe omba omba tafuta za kwakoHivi nanyi wanaume wa siku hizi mmekuaje?
ukiombwa vijisenti unakuja kuanzisha thread kama una hela za mawazo si uache tutapewa na mapapaa?
kwani unshikiwa bunduki jamani......
Ukiwa mgumu kutoa hela usipende papucci.
Aaah mpe hyo vidonge vyake akiweza ameze akishindwa ateme...shaur yke
kwa nin uwe omba omba tafuta za kwako
hivi wanawake mmekuaje mbona siwaelewi vile hasa wa mjini mmekuja kua tegemezi hasa mnapopata boyfriend mpya
mara naomba hela ya vocha,mara ya saloon,mara kodi ya nyumba imekwisha,mara nitoe out bill ikija alipe mwanaume wewe kimyaaa,hv hamjui kuwa na sisi tunamajukum ya kulea wazazi?au mnafikiri hizo hela tunaokota?
eti ndo mnataka haki sawa,kama mnapenda kuomba kaen na mabakuli njian tutawasaidia.naomba niwaeleze sasa hv
kila kitu pasupasu hakuna kumtegemea mwenzio wizi mtupu.ukimpa hela utaitwa majina yote mara honey apple dear
wizi mtupu.na siku hizi wameanzisha mtindo eti hata ukijamba anakupa pole honey hujaumia,nan kakwambia kupumua unaumia?NAOMBA TUHESHIMIANE..........
Aaaah hawa wavulana naooo michosho tu....
Hivi nanyi wanaume wa siku hizi mmekuaje?
ukiombwa vijisenti unakuja kuanzisha thread kama una hela za mawazo si uache tutapewa na mapapaa?
kwani unshikiwa bunduki jamani......
hubomwi mtu hapabesti mbona unaporomosha maneno utadhani umewekea morta mdomoni ?
kulikoni majanga yailiyokusibu mpaka utoe lugha za kila mkoa hapa?
pole kwa kisanga kilichokupata yaonesha wewe ni mtu wa kaskazi
hapa ni pasupasu hutaki?ndo matatizo ya vijana wanakulia kwa mama hawa
hawana jipya nikuwatolea :israel:
We unavomuomba hiyo papuchi ni yako?
nawe tafuta yako.....