Hivi nyie wanaume tuwaweke wapi?

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,762

Kama hutaki kuoa siuache unamchukua binti wawatu halafu matokeo yake unamuua na umalaya wako unalala na kila msichana unaweka mimbegu.

Halafu unakuja humo ndani yanyumba kisa mkeo amejua unamuua .

Kama mnaona mmeshindwa kukituliza hicho kitu chenu mwambie mkeo naomba tuachane kuliko kumtoa mtu uhai kisa ushenzi tu

Na hii shida ni kwamba unaolewa na limbukeni na watu ambao akili hakuna
Ila wanaume mnachosha kabisa.
 
Mbona wamevaa madela yanayofanana?

Ina maana wameshona kwa ajili ya msiba?
 
Aisee! Ni kwanini umehusisha uzinzi/uuaji na uanaume? Ukifanya ivyo huoni unakua mbaguzi?
 
Kheee... kwa hiyo wote tumeyafanya hayo kisa mwanaume mmoja kafanya..?? Haya turudi kwenye yale ya AMBARUTI... tukulaumu na wewe?
 
Siku nyingine ukishaangalia video kama hizo kunywa maji, tulia vizuri ndio upost, kukurupuka kubaya
 
Halafu usitupandishie sauti hujui kama unaongea na wanaume



Nadhani tulifanya makosa kuwaruhusu muende shule kujifunza kusoma na kuandika embu ona sasa mnatutukana mtandaoni
Mkiambiwa ukweli ni mbaya au??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…