Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 6,995
- 8,917
Hakuna shida yoyote mkuu,naona tu umeachagua jina zuri sana miss put in.Mbona hakuna shida mkuu
Hakuna shida yoyote mkuu,naona tu umeachagua jina zuri sana miss put in.Mbona hakuna shida mkuu
Mtu mama mtu mzima kwako,kwake na kwa wengine bado mbichi kabisa, kifuani vitu bado SAA 6 sio SAA 12.Habarini wakuu.......
Hivi nyie wadada/ wamama mnaoenda kusafisha kucha mmevaa nguo fupi huwa mnataka nini?.......
Yani nimepita hapa makoroboi kuna mmama mtu mzima tu yani anasafishwa kucha kavaa bonge ya mini ,mapaja yote yako wazi alafu kakaa sehemu ya wazi kila anayepita anamuona ......
Siyo poa! Tubadilike
Kama upo dsm maeneo ya mwenge
AsanteHakuna shida yoyote mkuu,naona tu umeachagua jina zuri sana miss put in.
Kwenye avatar ni wewe??Asante
Mwache tu, rafiki yako ana "Nyota ya Ukimwi" inang'aa sanandio maana waosha kucha wanawala sana kuna mshikaji wangu pale mwenge amewala madada wengi sana
KipundeHivi papuchi ni nini?
Habarini wakuu.......
Hivi nyie wadada/ wamama mnaoenda kusafisha kucha mmevaa nguo fupi huwa mnataka nini?.......
Yani nimepita hapa makoroboi kuna mmama mtu mzima tu yani anasafishwa kucha kavaa bonge ya mini ,mapaja yote yako wazi alafu kakaa sehemu ya wazi kila anayepita anamuona ......
Siyo poa! Tubadilike
Huwa hatuagi tukitoka kazini tunaunga hukohuko.Kwanza kwa nini ushindwe kujisafisha kucha zako na miguu yako mwenyewe, Mwanamke ambae anashindwa kusafisha kucha zake na miguu ni mchafu maana hata papuchi sidhani kama inasafishwa
Mwanamke nunua vufaa vyako usafishe kucha nyumbani kwako na umsafishe mumeo pia eboo
Ila mna waumr wapilr...eti namuaga kabisa mume naenda kusafishwa kucha...hahaha
Ndio maana nakwambia umepata mume mpole, wenzio tukitoka ofisini saa kumi na nusu tunahesabiwa muda wa kufika nyumbani kuangalia watoto, kama jam ni kubwa basi saa kumi na moja na nusu uwe nyumbani vinhinevyo kama kuna emergency lazima taarifa inayoeleweka iwepo...halafu pia mi mwenyewe nkiwaza huo muda wa kukaa kUsafishwa kucha na vifaa ambavyo kila mtu anasafishwa navyo, havichemshwi wala haviko katika hali usafi naona bora niwahi nikacheze na wanangu lolHuwa hatuagi tukitoka kazini tunaunga hukohuko.
Mbadilike au wabadilike?Habarini wakuu.......
Hivi nyie wadada/ wamama mnaoenda kusafisha kucha mmevaa nguo fupi huwa mnataka nini?.......
Yani nimepita hapa makoroboi kuna mmama mtu mzima tu yani anasafishwa kucha kavaa bonge ya mini ,mapaja yote yako wazi alafu kakaa sehemu ya wazi kila anayepita anamuona ......
Siyo poa! Tubadilike
Kweli kabisa hata mimi huo muda sinaNdio maana nakwambia umepata mume mpole, wenzio tukitoka ofisini saa kumi na nusu tunahesabiwa muda wa kufika nyumbani kuangalia watoto, kama jam ni kubwa basi saa kumi na moja na nusu uwe nyumbani vinhinevyo kama kuna emergency lazima taarifa inayoeleweka iwepo...halafu pia mi mwenyewe nkiwaza huo muda wa kukaa kUsafishwa kucha na vifaa ambavyo kila mtu anasafishwa navyo, havichemshwi wala haviko katika hali usafi naona bora niwahi nikacheze na wanangu lol
Kipunde?Kipunde
Cku izi c ndo utaratibu wenu mkuuKuna siku niliona huyo dada kajiachia halafu hajavaa kufuli hana habari mwenyewe. Aibu niliona mimi
Wewe unaupenda?Cku izi c ndo utaratibu wenu mkuu
HichohichoKipunde?
ulisimama kwanza kusafisha macho? fahari ya macho haifirisi duka.Habarini wakuu.......