Hivi nyie wadada/ wamama mnaoenda kusafisha kucha mmevaa nguo fupi huwa mnataka nini?

Habarini wakuu.......
Hivi nyie wadada/ wamama mnaoenda kusafisha kucha mmevaa nguo fupi huwa mnataka nini?.......
Yani nimepita hapa makoroboi kuna mmama mtu mzima tu yani anasafishwa kucha kavaa bonge ya mini ,mapaja yote yako wazi alafu kakaa sehemu ya wazi kila anayepita anamuona ......
Siyo poa! Tubadilike
ndo maana mimi najifunza hapa niwe namfanyia demu wangu asiwe anaonesha uchi wengine maana wanawake ukichelewa tuu uchi wake hauna dhamana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom