Hivi nyie mnaowasiliana na wapenzi wenu kila dakika huwa mnaongea nini zaidi?

Kumbe ndio wewe!yaani unakera Sana hiyo tabia yako Kwanza nakuona Kama una kiburi na mjeuri na una wanawake wengine,badilika kwa kweli hiyo tabia yako mbaya Sana..leo uchukue ushauri mzuri hapa
 
Usinicontact kama huna jambo la msingi.
 
baby umekula, baby upo wap, baby unafanya nini, vp baby leo umevaaje, baby umevaa chupi au taiti swali jingine utasikia umevaa chupi rangi gani baby natamani niione chupi yako maswali yakiisha utasikia baby nambie, nambie baby wangu, baby tell me mara abadili lugha mwisho wa siku ushubwada mtupu mapenzi bhana chenga tuuuu
 
sasa kuna rafikiyangu mmoja alikua bize na kazi akanambia nichat na mchepuko wake ila maneno ananipa yeye.
ni vituko mimi siwezi

....uko wapi
....umepika nini.
....nije nikulishe
....achama nikulishe
....umelala
...umevaa nini

nilichoka pale aliposema niandike "umevaa nini"
mchepuko akasema rangi
jamaa "mhh siamini hebu tuone"

kama mapenzi ndo yako hivi mimi sijui kitu
Daaaaaaaaah
 
Back
Top Bottom