kweli Lizzy,kuna mwingine hapendi kumilikiwa,kuwa under control ya m2 so bora awarushe tu kwa pete ili ata ukiwanae ujione mwizi which means utakuwa na limit kwenye mipango/ratiba or maamuzi yakeUnaposema anajipotezea bahati ya kuolewa kwani anakua amekwambia anataka kuolewa??Unajuaje kama havai kwasababu hiyo hiyo kwamba hataki ndoa hivyo anavaa ili wamtambue kama mke /mchumba wa mtu??Au unajuaje kama havai ili awavutie wale wanaopenda wake za watu??Hapo anapata mahusiano yasiyo na ulikua wapi au kwanini simu unazima usiku!!Kabla hujajua kwanini mtu anafanya kitu ambacho sio uasi wa aina yoyote ile chunguza sababu kabla ya kumhukumu!
Kwani kuolewa ni kumilikiwa?kweli Lizzy,kuna mwingine hapendi kumilikiwa,kuwa under control ya m2 so bora awarushe tu kwa pete ili ata ukiwanae ujione mwizi which means utakuwa na limit kwenye mipango/ratiba or maamuzi yake
obvious, how else can u explain it? Unaweza kutuoa watatu lakini siwezi kuolewa na wawili. Which means kuoa ni kumiliki na kuolewa ni kumilikiwa.Kwani kuolewa ni kumilikiwa?
nimejaribu kutafuta kwenye biblia andiko linalohusu pete za ndoa au engagement rings kama muitavyo lkn cjafanikiwa kuona!!!
hivyo basi kwangu mimi hata kama nikivaa nikama urembo tu!!! kama vile nivaavyo hereni, mkufu au urembo mwingine.
mambo mengine ni maandaliyo ya moyo tu ya mwanadamu!! kwani nyie mnavyotoga masikio na kusuka mnataka nini lakini??
obvious, how else can u explain it? Unaweza kutuoa watatu lakini siwezi kuolewa na wawili. Which means kuoa ni kumiliki na kuolewa ni kumilikiwa.
Unaposema anajipotezea bahati ya kuolewa kwani anakua amekwambia anataka kuolewa??Unajuaje kama havai kwasababu hiyo hiyo kwamba hataki ndoa hivyo anavaa ili wamtambue kama mke /mchumba wa mtu??Au unajuaje kama havai ili awavutie wale wanaopenda wake za watu??Hapo anapata mahusiano yasiyo na ulikua wapi au kwanini simu unazima usiku!!Kabla hujajua kwanini mtu anafanya kitu ambacho sio uasi wa aina yoyote ile chunguza sababu kabla ya kumhukumu!
nimejaribu kutafuta kwenye biblia andiko linalohusu pete za ndoa au engagement rings kama muitavyo lkn cjafanikiwa kuona!!!
hivyo basi kwangu mimi hata kama nikivaa nikama urembo tu!!! kama vile nivaavyo hereni, mkufu au urembo mwingine.
mambo mengine ni maandaliyo ya moyo tu ya mwanadamu!! kwani nyie mnavyotoga masikio na kusuka mnataka nini lakini??
Umenifuharisha kweli ila ukweli ni kwamba kina HAWA wako wengi kwahiyo ni kiasi tu cha ADAMU kuchagua kati ya wale walio tayari kutimiza wajibu wao hapa duniani!!hapo mwanzo MUNGU alimuumba ADAM , kicha hakamuona ni mpweke ndipo HAWA akaumbwa, Kama HAWA hataki kuolewa huo ni ukatiri kwa ADAMU na kwake na nikinyme cha yeye kuendelea kuishi maana hana faida ya kuumbwa kwake
hapo kwenye pink hapo,kuolewa ni bahati? na kuoa je?Jamani inanishangaza, hii si mara ya kwanza kuliona na leo nimeamua kulivalia njuga. Jamani hebu liangalieni hili, utakuta mwanamke, mdada bado hakubahatika kuolewa na ukimfuatilia kwa undani utagundua ana kazi yake nzuuuuuuri tuu,ila hana cha boyfriend wala fiancee. Cha ajabu kila cku anajivalia pete ya ndoa tena ya gharama kubwa,tena wakati akitembea anaurusha ule mkono wenye pete kwa maringo makubwa ili kila apishanaye aione. Hivi hamuoni kama hii ni kutaka kujipotezea bahati ya kuolewa au? Au wana jf mnalizungumziaje hili?
Sasa sindio anaejua atufungue macho!Mnazungumzia Biblia pekee, kwani kwenye Quran suala la pete ya ndoa halizungumziwi?