Hivi Nyerere angekuwa hai leo hii bwana huyu angetamba hivi?

Hivi kweli baba wa Taifa angekaa kimya kwa haya yanayoendelea?

Bila shaka hata kadi yao angeshawaruishia maana mambo mengine kwakweli ni dharau kubwa kwa waliokupa dhamana.

Inakera sana!
Mpuuzi kukerwa ujue mambo nimazuri,
Magu Nikiongozi asiye fuata wala kuteteleka na wanasiasa uchwara.
Mjipange bado sana
kwa Magu mtaimba nyimbo nyingi sana
aliwaambia kama ninguvu ya Soda
basi soda imetiwa Gongo.
 
Hivi kweli baba wa Taifa angekaa kimya kwa haya yanayoendelea?

Bila shaka hata kadi yao angeshawaruishia maana mambo mengine kwakweli ni dharau kubwa kwa waliokupa dhamana.

Inakera sana!
Sasa mkuu kila mtu na aina yake ya uongozi ,hata huyo nyerere angekuwepo sidhani kama angeweza kumpangia mheshimiwa rais nini cha kufanya.
 
Mpuuzi kukerwa ujue mambo nimazuri,
Magu Nikiongozi asiye fuata wala kuteteleka na wanasiasa uchwara.
Mjipange bado sana
kwa Magu mtaimba nyimbo nyingi sana
aliwaambia kama ninguvu ya Soda
basi soda imetiwa Gongo.
We subiri tu kurejea kwa bwana!
 
Back
Top Bottom