Hivi nyayo za binadamu wa kale zilitokeaje katika miamba

Hiz nyayo hutokea maeneo ambayo milipuko ya volkano ilitokea baadhi ya maeneo uji wa volcano huanza kupoa na kuganda taratiiibu hawa watu wa kale endapo watakua wamepita kabla ule uji wa volcano haujaganda kugeuka jiws kamili bas zile nyayo au footprints hutokea na uji ukishakakamaa kuwa jiwe hiz foot prints hubaki apo kwa miaka ming sana mpaka weatharing ifanyike na wataal huweza kutambua nyayo hizo zilika yagwa kipind vani kupitia kifaa kinaitwa carbon fourteen hiki kinapima muda ambao hii volcano ililipuka
 
Du! Volkano ni ya moto sana pindi ikiwa ni ya kimiminika (liquid state), mithili ya uji wa plastiki. Sasa huyu mtu aliwezaje kukanyaga kwa joto lile?
 
Ni kweli volcano ni rock mwamba ulio katika liquid state baada ya kuyeyuka na ndio maana ukiganda unarudi kuwa jiwe tena na unaganda baada ya kupata baridi la kutosha ila mkuu huu uji upo ambao hupoteza joto kwa haraka huku ukiendelea kuganda taratibu
 
Labda, ila unajua FREEZING POINT ya volcano?
 
Hiz nyayo hutokea maeneo ambayo milipuko ya volkano ilitokea baadhi ya maeneo uji wa volcano huanza kupoa na kuganda taratiiibu hawa watu wa kale endapo watakua wamepita kabla ule uji wa volcano haujaganda kugeuka jiws kamili bas zile nyayo au footprints hutokea na uji ukishakakamaa kuwa jiwe hiz foot prints hubaki apo kwa miaka ming sana mpaka weatharing ifanyike na wataal huweza kutambua nyayo hizo zilika yagwa kipind vani kupitia kifaa kinaitwa carbon fourteen hiki kinapima muda ambao hii volcano ililipuka
mh..!! carbon-14 kwenye volcano..? ndo naskia leo
 
Back
Top Bottom