Hivi njia gani nzuri ya kutangaza vitu kwenye mitandao?

Tebajanga

Member
Sep 14, 2011
68
102
Siku hizi ulimwengu umebadilika, tupo katika teknolojia kwa sana! Hizi njia za kubandika matangazo kwenye miti naona ishapitwa na wakati!
Sasa katika mitandao ndo bora zaidi, na nimefanyanya uchunguzi nimeona kuna jamaa wanaitwa JigambeAds .
Je wengine mnaowafahamu ni nani?
 
naona umekuja kwa kasi na jigambe yako aisee. Hivi mko wangapi ktk marketing team? Au uko mmoja na multiple IDs?
Haya endelea kujigamba!
 
kujigamba ndo ad compaign yetu nahisi umeshatuelewa bigup tech tusipo jitangaza nani atafanya hivyo?
 
Back
Top Bottom