Hivi ninyi wanaume, mmerogwa?

In evey action there is equal and opposite reaction.... Ukiona wanafanya hivyo sio kwa nafsi zao bali kuna force kutoka upande wa pili
 

Sasa sisi ndo tumewatuma hao wanaotangaza?

Kwa nini usiwaulize kama wao ndo wamerogwa kufanya hayo matangazo?

Mbona sisi tunayaona matangazo insta ya kufanya k ibane, kukuza hips, mat.ako, kuondoa michirizi, kukuza boobs, etc hatuwalalamikii nyie?
 
Hawa watu hawaeleweki kabisa. Halafu aliyekwambia unachopenda wewe na wenzio wanapenda ni nani?
 
Hawa watu hawaeleweki kabisa. Halafu aliyekwambia unachopenda wewe na wenzio wanapenda ni nani?
 
HATARI KUBWA YAACHENI KAMA YALIVYO,WENGINE WANATAKA JUA WENGINE MVUA LIPI SASA!
 
Na kiharage kitakuwa kimenyofolewa Kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23]inabid nifanye operation ya dole gumba niunge kingine
Haaaaaa hakiwezi kutoka bhana maana siyo kwamba dushe linasimama muda wote
 
Kina cha maji kimeongezeka sana kwa wadada wengi hivyo tunarefusha mpini wa sururu ili kwendana na vina vyenu hasa wakati ambapo mnaanza mapenzi mkiwa primary tu na kutembea na wazee
 

Na mm naomba watumie na viagra kabisa tukitoka kukwichi tupepeee na feni [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Maisha haya ni kuhangaika tu, w'wake wakihangaika kupata chura ili waridhishe w'ume,. Wanaume nao wako bize kutafuta mashine nzuri imridhishe m'mke. Ni kupambana tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…