Au ndizi kubwa????? kama siyo hivyo mi nadhani uongeze muda wa maandalizi hata akikwambia basi wewe endelea muandae kama ulivyoelekezwa hapo juu na Mzizi mkavu usiwe na papara. Na maandalizi yako inawezekana unagusa kwenye wrong parts jaribu kumdodosa maana huenda unangangania kwenye nyonyo wakati yeye haposio penyewe. Go extra mile and know where to touch!!!