Now that bossman is on the control room, mie napita pia. Ngoja upewe sure. Manake kama kila ukimhisi mpenzi unamchunguza hadi kupata ushahidi sijui kama kuna relationship ingedumu. Kama ni flirt zinafanyika, na kuitwa sweetheart maa mrembo ni kawaida sanaaa! Ndo maana hata Bible imeandika, Bwana kama wewe ungehesabu maovu ni nani angesimama?
mie nadhani twaweza kuwa tuko sawa
naweza uliza, ama nikatumia sense ya sita, na nikitumia sense ya 6 ni hatari tupu
kwa njia hiyo huwezi kuishi na mke, la msingi ni kuaminiana na kuelezana ukweli ila si kuchunguzana wakati wote. Ukiendelea na tabia ya sasa uliyonayo utakuwa na idadi kubwa ya kina dada na matokeo yake unaweza kupata matatizo (ya kiakili au magonjwa). Hakuna binadamu aliyetimilifu. Inawezekana una matatizo ya kisaikolojia unaweza kuwaona wataalamu. Ukimchunguza kuku alacho (wa kienyeji) unaweza usimle. Mbona na wewe unatamani na wengine?
aiseh mbona mkeo atapata tabu sana au nayeye atachezea talaka tatu,hiyo tabia si nzuri kabisa oooooooooh
Vitu vingine vdogo ni kuvidharau ili maisha yasonge mbele hakuna aliye mkamilifu na kila mtu ana madhaifu yake inabidi kuchukuliana,kusameheana na kuelimishana.
Word!!