Hivi nililaaniwa niwe na wewe?

Hivi nililaaniwa niwe na wewe?

Jacaranda

Member
Joined
Oct 23, 2011
Posts
45
Reaction score
20
Ni mpweke, ni pekee yangu kandokando ya bahari iliyo tulivu
Mara ya mwisho kuja ubongoni mwangu ulikuja bila kukaribishwa
yawaje mtu uliyeusigina moyo wangu bado wahozi fikra zangu?
Ni muda tangu uondoke lakini bado nasikia harufu ya manukato yako
Mmmmmh ndo miguno yo,mbona nashindwa kuizuia masikion mwangu?
Hivi nililaaniwa niwe nawe?,Naambie wapi nikaoshe laana hii iniondoke?
ulipoondoka ulisema ndo basi ,lakini mbona huchoki tembelea fikra zangu?
Niache nisiendelee kukuona ukiwa umeshikana naye mkono kwa mkono
Niache nisiendelee kukuona ukinong'ona sikioni mwake qui sera sera
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom