Hivi nikweli siasa bila propanda haziendi?

Hivi nikweli siasa bila propanda haziendi?

WISEJ

Member
Joined
Jan 27, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Kwa kweli bado napata kigugumizi sana kwa wanasiasa wengi hapa nchini na hata nje ya nchi pale unapowasikiliza hoja zao na pindi zinapochujwa na wataalamu wa mambo yakisiasa huonekana ni chache huenda zikatekelezeka na zingine ni kama mapambio ya majukwaa na kuvutia watu, wengine pia huthubutu hata kusema awamu nyingine mambo yatakuwa shwari kabisa hatimaye miaka inakatika mambo si shwari ndio kusema SIASA BILA PROPAGANDA HAZIENDI AU?
 
Back
Top Bottom