proff g
Senior Member
- Jul 16, 2016
- 146
- 113
Habari zenu wana jf, kwanza napenda kuishukuru wizara ya elimu katika kufanikisha kutoa matokeo ya kidato cha pili. Pili napenda kuwapongeza Wanafunzi hawa waliofanya mtihani wa upimaji wa kidato chapili walio faulu kuingia kidato cha tatu.Ni rudi sasa katika hoja yangu ya msingi hivi ni kweli mtwara ndio MKOA unaongoza kwa kufelisha? Nianze kwa kutaja changamoto zinazo pelekea hayo
1. Sera ya elimu kusimamiwa vibaya kwa mfano kuto kuwa na mitihani bora ya kupima KKK kwa wanafunzi Wanaingia kidato cha kwanza.
2.usimamizi mbovu wa usahihishaji wa mitihani hii. Kwa mfano mitihani hii ilipaswa kusahihishwa kwa muda wa wiki mbili na badala yake halmashauri nyingi zimetumia siku tano tu ili kubana fedha na wajanja kuzipiga.
3 kutokuwa na mazingira bora ya ufundisha na kujifunzia kwa mfano hebu itafute shule ya kaizerege, cannosa,feza halafu nenda salama sekondari basi utafahamu utofauti huu.
4 Bodi za shule .hizi bodi zipo kisheria lakini yanayo tendeka ni maajabu wamekuwa wakitafuna pesa za shule kuliko kusimamia miradi na maendeleo ya shule.
5 Ukosofu wa walimu wa sayansi pamoja na mazingira bora ya kujifunza haya masomo ya sayansi kwa mfano shule zilizo ongoza kazitazame kwenye idara ya sayansi utapata jibu
6 walimu wengi kuwa kwenye mazingira ya kufadhaisha,mishara midogo,kunyanyaswa
Kwamachache hayo yanaifanya elimu yetu kuwa ya ajabu na yasiporekebishwa haya tusitegemee kuwa na matokeo mazuri ni Mimi mwalimu