Ingekuwa ni kule fb mbona ingekuwa tayari,ila hapa jf wadada wa hapa ni kichwa ngumu pasua kichwa,watu kama lizzy,rr,asha di,sl na wengineo si wa kuwaendea kifacebookfaebook,wanataka wakuone live,wakuhoji huku wanakutumbulia macho,so jitahidi uje bongo,
NB.
Uwe muoji kweli na sio mbabaishaji.