Hivi ni wapi wanaconduct TOEFL test?


E

Ekwilibriamu

Member
Joined
Oct 4, 2011
Messages
36
Likes
0
Points
13
E

Ekwilibriamu

Member
Joined Oct 4, 2011
36 0 13
...kuna mtu anajua procedure na sehemu wanapofanya mitihani ya TOEFL?
 
ndyoko

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
4,982
Likes
312
Points
180
ndyoko

ndyoko

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
4,982 312 180
Nenda UCC UDSM
 
M

Maega

Senior Member
Joined
Jul 10, 2010
Messages
152
Likes
5
Points
35
M

Maega

Senior Member
Joined Jul 10, 2010
152 5 35
It depends kama unataka kufanya paper based exam, center hapa Tz ni 1.Dar- International School of Tanganyika kituo kingine 2.kipo Moshi. Kama unataka kufanya Internet based exam kituo ni hapo UCC -UDSM ila nakushauri ufanye Paper based ndio simple ukilinganisha na ile internet based. Ukitaka kufanya mtihani unachagua tarehe ya mtihani then unajisajili online na utalipia au to shorten the story kwa maelezo zaidi we nenda pale Golden Tulip Hotel ofisi za TanSao kuna jamaa mzungu anaitwa Rustard utajisajili pale pale na atakupa maelezo zaidi plus preparation material. All ze best kjana
 
Vitendo

Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Messages
606
Likes
14
Points
35
Vitendo

Vitendo

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2009
606 14 35
1.International School of Tanganyika -Masaki,Dar es salaam.
2.International School of Moshi.-Moshi,kilimanjaro.
3.University computing Center-Udsm,Dar es salaam.
fanya Internet based maana ndiyo inakubalika sana na vyuo vingi maana Paper based imepitwa na wakati na kuna vyuo vingi vimeanza kuikataa.
kwa taarifa zaidi unaweza kwenda IST au pale kwenye maktaba ya Ubalozi wa marekani utapewa taarifa zaidi.
Kuhusu British council wenyewe ni paper inayoitwa IELTS.
 
M

Mundu

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2008
Messages
2,720
Likes
34
Points
145
M

Mundu

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2008
2,720 34 145
Nenda British Council Dar E Salaam...mwisho wa mwezi huu kuna pepa ya TOEFL...
 
O

Oak

Member
Joined
Sep 6, 2011
Messages
34
Likes
0
Points
0
O

Oak

Member
Joined Sep 6, 2011
34 0 0
Ekwilibriamu; ...kuna mtu anajua procedure na sehemu wanapofanya mitihani ya TOEFL?

Mkuu nenda pale UDSM Computing Center, watakupa procedures zote za kulipia na kufanya. Nilifanya huo mtihani 2006 pale Computing Center wa Internet based.Kwa kifupi unahitaji maandalizi ya kweli, kwenye kuongea lugha, typing speed nk. Kuna vitabu special vya huu mtihani na DVD/CDs za jinsi ya kujiandaa na kuufanya. I had all the resources required at my disposal and my score was great. Without enough time for preparation and relevant resources to pass the internet based exams is very difficulty. Likewise, for GMAT.
 
Jeff

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Messages
1,246
Likes
47
Points
145
Jeff

Jeff

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2009
1,246 47 145
Wadau huo mtihan wa toefl au ielts inagharimu kias gani? I mean fee,na pia inachukua mda gan kwa majibu kuwa tayari?
 
KANCHI

KANCHI

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2011
Messages
1,544
Likes
63
Points
145
KANCHI

KANCHI

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2011
1,544 63 145
Huu mtihan hauhitaji kupiga msuli wala nini it is just to know how far is your english written and listening.
 
O

Oak

Member
Joined
Sep 6, 2011
Messages
34
Likes
0
Points
0
O

Oak

Member
Joined Sep 6, 2011
34 0 0
KANCHI; Huu mtihan hauhitaji kupiga msuli wala nini it is just to know how far is your english written and listening.

If that is the case then every one would be passing Toefl test. I can't buy your fallacy because toefl nowdays is more than
listening and writting. Your argument could be valid during paper based era. In addition to listening and writting/typing, candidates are now tested their english skills in reading and speaking -for the internet based test (iBT) version. It is all about testing your communication skills in the current academic settings. One also should prepare in notes taking and speed typing (for essay writting) if he or she really wants to ass the test. Preparation for the test in the above mentioned areas is very important, that's is my advice.
 

Forum statistics

Threads 1,235,616
Members 474,678
Posts 29,228,747