Hivi ni Russia pekee?

Hivi ni Russia pekee?

Hii ni Agenda tu ya kupunguzia vichaa tu Mamlaka,West wanajua Russia alivyo strong siku moja hawatokuja mdhibiti,kaingizwa mtegoni,kajaaaa tulia uone mwisho wake

Ukraine ataumia zaidi,ila Russia,anavuliwa nguo,Hasa Putin
 
Wa kuwahurumia hapo ni Ukraine mana ndo battle zone Ila anayetafutwa Kwa udi na uvumba ni Putin , na wameshapata kichaka hawamwachii whatever the cost
 
Hawamwachi kupitia wapi mzee. That war ni Russia against Ukraine. Ukraine sio member wa NATO, West wanaingiaje vitani. Putin sio mjinga kama unavyojaribu kufikiri. Hakuna atakayeingia vitani, wataishia kutoa vitisho na sanctions tu. Wangekuwa na uwezo wangeshaweka no fly zone.
 
Wa kuwahurumia hapo ni Ukraine mana ndo battle zone Ila anayetafutwa Kwa udi na uvumba ni Putin , na wameshapata kichaka hawamwachii whatever the cost
Watamlawiti kama Saddam Hussein na Gaddafi
 
Back
Top Bottom