Hivi ni nini kanuni ya maisha?

Hivi ni nini kanuni ya maisha?

nachasudwa

Member
Joined
May 17, 2015
Posts
72
Reaction score
34
Jamani naomba wataalamu na mlojaliwa hekima mnisaidie walau niishike basi, maana naona nyota nahisi mpaka mwisho naweza kupata tano.
 
Jamani naomba wataalamu na mlojaliwa HEKIMA mnisaidie walau niishike basi.maana naona nyota nahisi mpaka mwisho naweza kupata tano.
Tafakari siku ina masaa 24 !! anzia usiku wa manane nyanyuka ufanye ibada kwa Muumba wako... Anzia Alfajiri pasuwa kichwa(fikiria mbinu)... Asubuhi changanya hatuwa fuata ulichopanga kukifanya kwa ufanisi...mchana endeleza jihudi ya hiyo kazi ukikamilishe...ifikao alasiri pumzika baada yahapo jipange kesho utaanza na nini tena!!
Kwa mukhtadha huo utakuwa ushafunguwa milango ya riziqi tosha !!!
God bless you!!
 
mimi rizki yangu imekata na sifanyi hata moja kati ya hayo na wala sina hata kazi..ngoja nijaribu mkuu
 
Kanuni ya maisha ni imani. ukiamini ktk kushindwa you will never succeed.

Ukitaka mabadiliko anza kubadili fikra zako.
 
ishi kwa upendo then zidisha juhudi ktk kuFanya kazi
 
Jamani naomba wataalamu na mlojaliwa hekima mnisaidie walau niishike basi, maana naona nyota nahisi mpaka mwisho naweza kupata tano.

Kuzishika amri za Mungu na kuishi katika hizo amri. Neno la uzima lisiondoke kinyani mwako. Pia mshike sana elimu usimwache aende zake maana huyo ndio uzima wako. Vile vile Mwanangu yasikilize mafundisho ya baba yako maana hayo yatakuongezea heri na uzima uvivunge ktk mikono yako na ubandike ktk kibao cha moyo wako, Mwanangu wenye hila wakikuita usiambatane nao. Uijue kweli nayo itakuweka huru.
 
Jamani naomba wataalamu na mlojaliwa hekima mnisaidie walau niishike basi, maana naona nyota nahisi mpaka mwisho naweza kupata tano.
Mpendwa, Muumba katupa mikono miwili tumia mkono mmoja uishike akiba yako vyema...., na tumia mkono wa pili utafute ingine ili uongeze kipato !!!
Good Luck
 
Back
Top Bottom