Hivi ni nani waliokuwa nyuma ya kashifa alizozitoa Mbowe dhidi ya hayati rais Magufuli?

Laana ya kutukana mtu aliyelala ambaye hawez kujibu inamtafna
 
Mbowe alipata laana na chama chake na hawatainuka tena.

Huwezi kumtukana Magufuli aliyejitoa mhanga alafu ukabaki salama.

Kumtukaba mtu yeyote sio jambo zuri lakini Magufuli sio Mungu au mzazi wa Mbowe, sijui anapataje laana.

Kuna watu mna imani za kichawi sana!! Ukishakufa, huna kitu unaweza kuwafanya walobaki duniani. Ningependa tu kujua unachosema ni mafundisho ya dini gani!
 

ivi unajua maumivu aliyoacha magufuli kwa familia ya Ben sanane,?
 
Kama hujalogwa basi labda ulizaliwa njiti , mtu aliyeporwa hela zake kwenye akaunti ndio wa kumsingizia ?
 
Magufuli alipopanga kumuua lisu alipanga kuipa furaha familia ya lissu?
 
Mbowe gaidi anastahili anachokipata kwa sasa ,ile style ya ujambazi kujifichia kwenye kichaka cha siasa mwisho wake umefika
Mbowe hatujawahi kusikia ameuwa Ila nyie maccm mmeuwa wengi including walioponea tundu la sindano Sasa Nani gaidi Kati yenu na mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…