Miss Kyalla
Senior Member
- May 13, 2019
- 168
- 135
Wakuu zamani kulikuwa hakuna haya mambo ya kuonjana onjana, ilikuwa hata mkipendana mwanaume haombi mpaka akuoe au wazee wanaenda nyumbani kwa binti kutoa taarifa wamempenda binti fulani process zinaanza unaoleea. Hata mama zetu hapo awali walivaa vimini vya juu ya mapaja na kutembea bila shaka mpaka makanisa yalipokataza na kusema ni bora suruali zivaliwe ndio wanawake walipoanzia kuvaa siruali, pamoja na hayo yote walikuwa hawafanyi mapenzi hata wakiwa disco.
Je mchawi ni nani alianza kuonjwa akamuacha mwenzie hadi leo ametuachia balaa relation ikianza tuu lazma mwanaume aanze kuomba kwa kigezo cha kuogopa kuuziwa mbuzi kwenye gunia. Bado nauliza ninani mchawi aliesababisha haya yote mpaka saivi tunapata tabu kupata wenzi wa maisha, mi natamani dunia irudi nyuma tuwe kama zamanii