Hivi ni muda gani ndiyo muafaka kwa....?

Mimi ni wakati wowote tu nikijisia namwambia mwenzagu na libeneke linaendelea kama kawa. Lakini kuna wataalam wanasema upo muda wake muafaka. Wengine mnasemaje?

Asubuhi kabla hujakwenda kazini:sick: :sick:
 
:A S 20:Asubuhi ndg! Pale unapata kitu roho inapenda,kisha huyooooooooooooo kazini, hapo mchana unapita safiiiiiiiiiiiiiiiiiii:A S 20:
 
Back
Top Bottom