Hivi ni mtandao gani rahisi kuliko yote TZ?

SirBonge

JF-Expert Member
Jul 18, 2010
378
435
Siku sio nyingi Tigo walishusha sana bei za mawasiliano na almost kila mtu alinunua line za Tigo, sasa siku hizi naona nikitumia Tigo-Tigo ni ghali sio kama zamani..Hivi kwa sasa ni ni ipi rahisi zaidi? Zain, Voda au Zantel?
 
Me naona wote gharama zao kama zinafanana, na kama utofauti ni kidogo sana.
 
Mawasiliano kwa sasa TZ yamekuwa bei rahisi. Hawa jamaa ina maana zamani walikuwa wanatuibia sana. Mitandao karibu yote sasa kama alivyosema Katavi bei zake zinafanana kinachobaki kuchagua network iliyo nzuri kwa mawasiliano.
 
mitandao yote kwa sasa ni shiling 1 kwa sekunde ndani ya mtandao, na shilingi 3 kwenda mtandao mwingine masaa 24, masharti na vigezo kuzingatiwa
 
Back
Top Bottom