Hivi ni kweli?

Haya ndio yanayotokea siku hizi, walimu wamekuwa wakilaumiwa kufeli kwa wanafunzi badala ya wazazi kushrikiana na walimu kuwasaidia wanafunzi.
 
True

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kama watoto siku hizi wanaweza kuwashitaki wazazi sembuse hilo la walimu tunaenda kubaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…