Leo ndio Leo asemaye kesho ni muongo na tapeli, wacha mungu wa Algeria kuimaliza kabisa Dar Yanga africans

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
437
1,745
Waja wa mwenyezi mungu USM Algeria, walioruzukiwa dini ss hv wametulia na familia zao wanajiandaa kwenda kuchinja ingawa sio siku ya kuchinja, ila imetokeq t bahati mbaya, lazima wamchinje t yanga.

Wana wachezaji 3 ambao mechi ya awali they did not play at all.

Kusema Yanga wawafunge mabao 2 0 kwenye ardhi ya mwenyezi mungu ni uongo na utoto wa asbh.

Kusema Yanga icheze kwa kushambulia huku mabeki wao wabovu ambao Leo ndio watajua kuwa hawajui bila mcha mungu USM asipate migoli sio kweli

Zile nafasi walizokuwa wanazipata Marumo Gallants kule afrika kusini wakazichezea, mwarabu au mcha mungu namba moja hafanyi makosa

Yaan kombe liwe uwanjani waarabu wameliona halaf wewe mswahili ukalichukue ili sisi tukose usingizi huku kwa mikelele yenu, thubutu.

Mcha Mungu 5 Yanga 0
 
Fatilia vizuri Mashabiki kindakindaki wa Simba na Yanga kama ni Binadamu wa kawaida, lazima baadhi ya fyuzi zinakuwa zimekatika katika bongo zao na mojawapo ni hili lileta mada.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Halafu huwa yanajisahaulisha kwamba yaliwahi kufa pale kwa Mkapa mbele ya Jwaneng Galaxy! Kwa hiyo kwenye football kila kitu kinawezekana!
 
Komenti za huu uzi zinaonyesha ni jinsi gani wabongo wasivyoombeana mema na kupendana linapokuja suala la maslahi kwa Taifa, tofauti na Watu wa nchi Zingine.

Unafiki Unafiki Unafiki Unafiki Mtupu Kwa Kila Jambo, Kila Mahali, Kila Wakati.

Wabongo tupo vizuri kwa unafiki.
 
Wabongo wanafiki sana
Hilo linajulikana
Nimeshangaa kuona comments za kitoto
Hata iweje kama team inacheza nchi nzima huwa wanaungana ila sisi uhasidi mwingi
 
Wabongo wanafiki sana
Hilo linajulikana
Nimeshangaa kuona comments za kitoto
Hata iweje kama team inacheza nchi nzima huwa wanaungana ila sisi uhasidi mwingi
Juzi kati kulikuwa na uzi kuhusu wabongo wa mamtoni kuwa na roho mbaya kwa kutokuwapa michongo Watanzania wanaotafuta maisha.

Wengi walisema wabongo ni wanafiki na majungu tupu ndio maana wanaogopa kuwapokea.

Kwa uzi huu, kweli wabongo tupo vizuri kwa unafiki.
 
Kweli kabisa mkuu
Niliuona na Nilichangia uzi
 
Kweli kabisa mkuu
Niliuona na Nilichangia uzi
Watu uelewa ni finyu sana. Simba, Yanga, Ihefu, Azam n.k wakishinda mechi za kimataifa ni heshima kwa nchi yetu kwani inatutangaza katika anga za kimataifa.
Tumekalia ushabiki vitumbua na supu ya kongoro ya Kwa Mtogole kwa vitu "sensitive" kwa nchi yetu kama mechi hii.
 
Mimi kwa kweli sio mpenzi wa mpira kabisa
Ila nilipoona uzi wa ligi hii nikaamua kuangalia
Na niliangalia full time
Nimeshangilia team ya Tanzania na rafiki yangu Algerian alinipigia simu na kuniambia leo kivumbi

Nimeshangilia Nyumbani na bahati mbaya hatukushinda ila kuna watoto wanafurahia kushindwa kwa Tz na cha ajabu wanashangilia team ya nje

Aibu mno
 
Kiufupi hao mabwana hawajui walitendalo na walifanyalo. Tuwasamehe bure na miunafiki yao!!!

Yanga ingeshinda ilikuwa sifa kwa Taifa, hawalijui hilo.
 
Back
Top Bottom