^^
Mkeo ana msongo wa mawazo.Nijuavyo mimi, mwili wa mjamzito unapopata msongo wa mawazo una hatua tatu,
1
ALARM STAGE
Mjamzito anapopata taarifa isiyo njema kwake,ubongo hujenga defensive mechanism.Na kama mtoto amezidi siku ya 120, ni rahisi mtoto kuhusika na mshituko huo
2.
RESISTANCE STAGE
Hapa mama huanza kuzalisha execuses! Mf ulipomwambia umemsaliti basi anajenga sababu za kujisamehe mwenyewe! Hatua hii wengine hujaa lawama sana au kuwa kimya sana au ukali kupita kiasi. Ktk ukimya mkubwa ni dalili kuwa jibu sahihi halijapatikana. Hali hii huathiri mfumo wa upumuaji wa mtoto tumboni na ndio maana nchi kama Israeli mama mjamzito huwekwa mahali palipo salama.
3.
GIVE UP STAGE
Hii ni hatua ya mwisho ya msongo wa mawazo. Hapa mtu huwa amefikia uamuzi ikiwa ni kulipiza,kucheka sana, au vyovyote ambavyo ataamua.
..
USHAURI
FREE ASSOCIATION
Mbali na kumpeleka hosptali,unatakiwa umjengee hali ya kupenda kusema. Mfano unaweza kumwambia aandike kila anachowaza moyoni mwake,akimaliza kuandika achane chane au achome moto lengo ni kupunguza mrundikano wa fikra zisizo na majibu katika hatua ya pili.
..
SAHIHISHA MAKOSA YAKO
Japo ni ngumu kukuamini maana una makosa,hebu mjengee tumaini jipya kwa kipindi hichi kwa kumuaminisha kuwa huo ulikuwa ni utani.
..
NB
Mimba zina mengi,,kila mimba ina staili yake.Usimwongezee stress/depression
^^