King Castory V
Member
- Jan 16, 2017
- 33
- 12
Hivi ni kweli kwamba kwa mtanzania kujua lugha ya kiingereza ndo msomi au?
Lakini mi nafikiri Sera ya taifa na elimu yetu ndo mbaya, kwanini tusingeweka lugha ya kiswahili itumike nyanja zote. Then kingereza kiwe ni willing.
Yap mkuuSayansi kusoma kwa Kiswahili ni tabu sana
Yani mtu mgonjwa wako ana dilated cardiomyopathy ,utasemaje kwa Kiswahili mkuu
Y?Mnaotetea Kiswahili ni hovyo kabisa nyie
Soko la Afrika Mashariki litatushinda
Kiswa kimenea sana na kukua kimsamiati. Hivyo tukiboreshe zaidiSoko la Afrika Mashariki litatushinda
umekaa tu hapo unakunywa juisi...Nop Sera tu mbona kiswhli kimeenea sana hadi mabara ya mbali huko
Sayansi kusoma kwa Kiswahili ni tabu sana
Yani mtu mgonjwa wako ana dilated cardiomyopathy ,utasemaje kwa Kiswahili mkuu
sio kwamba sera haipo, sera ipo. mawazo yako yako kwenye sera ya elimu ya mwaka 2014. sera ya elimu ya mwaka 2014 ikianza kutekelezwa, kiswahili kitakua lugha ya kufundishia. tatizo ni kwamba tunafikiri waliokua wakiongoza wizara ya elimu kipindi hicho walikua maaduia wa watanzania na walikua hawana malengo mazuri kwa taifa, ndio maana kuitekeleza hatutaki.Lakini mi nafikiri Sera ya taifa na elimu yetu ndo mbaya, kwanini tusingeweka lugha ya kiswahili itumike nyanja zote. Then kingereza kiwe ni willing.
Lakini mi nafikiri Sera ya taifa na elimu yetu ndo mbaya, kwanini tusingeweka lugha ya kiswahili itumike nyanja zote. Then kingereza kiwe ni willing.
Nakuunga mkono.Lakini mi nafikiri Sera ya taifa na elimu yetu ndo mbaya, kwanini tusingeweka lugha ya kiswahili itumike nyanja zote. Then kingereza kiwe ni willing.
na wachina, wajerumani, wafarasa, warusi, waitaliano, wahispaniola, wareno, n.k wanafikiri kama nyerere kwa kushirikia kiingereza ktk kufundishia? mbona unafikiri vibaya kisa aliyekutangulia alifikiri vibaya. fikiri nje ya box. kama nyerere anakipenda kiingereza zaidi, basi angeweka miziz ya kiingereza kama wakenya, waganda, wamerekni, waafrika kusini, n.k, na kiswahili kikabaki kama lugha ya makabila kama kihaya, kisukuma, kiha, kichaga, kimasai, kingoni, n.k'English is the Kiswahili of the world' by J. K. Nyerere.