Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,232
- 6,474
Embu shibisha kidogo
Kwa hiyo sio vyema kumsalimia kila mtu kwa mkono?Watu wana magundu yao ukisuguana nae tuu basii yaani gundu taari
Hata sifahamuHalafu haya magundu yapo Afrika tu! Hivi huwa mnakosa vitu vya kusingizia au ndo kubakwa kiakili...?
Unahabari kuna watu huwa bongo zao zinafanya kazi vizuri baada ya sex..? Mtu hapo anatoka na bonge la wazo ambalo hapo kabla hakuwa nalo unalifahamu hili
Ingekua ni kweli, basi kwa sisi tuliooa na ambao hatujui swala hilo hakuna jambo letu hata moja lingefanikiwa maana sisi tunabutua tuu kuwe na jambo la kufanya ama laa.Habari wadau wa nguvu wa JF.
Nimesikia watu wakisema mapenzi yana gundu. Yaani kama kuna jambo zuri lenye manufaa unataka kulifanya, eti ni bora msifanye mapenzi na mapenzi/mchumba/ mume au mkeo hadi utakapoanza kufanikisha jambo hill.
Mara nyingi mambo kama hayo ni Maombi/sala, interview ya kazi, kufungua biashara Mara ya kwanza, safari, na nyinginezo.
NB: Masuala hata ni yale ya muda mfupi wa siku moja wiki au wiki mbili. Sio mtengane mwezi au mwaka utaibiwa.
Mdau moja kaenda mbali na kusema hata katika Bible, Waisraeli wakipitia jambo gumu hutengana na wenza wao kwa muda.
Wajuvi karibuni kwa michango yenu.
Inategemea na jambo lenyeweIngekua ni kweli, basi kwa sisi tuliooa na ambao hatujui swala hilo hakuna jambo letu hata moja lingefanikiwa maana sisi tunabutua tuu kuwe na jambo la kufanya ama laa.
Asante kwa nukuu mkuu1 Wakorintho 7:5
[5]Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.
Kwa wanaofuata biblia muongozo huo hapo.......hivyo kwa mujibu Wa imani ya kikristo na wasomaji wengine Wa Biblia hilo uloandika ni sahihi....
Sent using Jamii Forums mobile app