Hivi ni kweli energy drinks zinapunguza nguvu za kiume?

Jay10

JF-Expert Member
Jul 9, 2018
711
533
Kama kichwa cha mada kinavyeleza, wadau naomba kujua ukwel kwa kina kuhusu huu uvumi kuwa energy drinks zinamalza nguvu za kiume au vinginevyo mana nimekuwa nikinywa karb kilasiku...
 
HAYA NDIO MADHARA YA AZAM ENERGY DRINK IKITUMIKA VIBAYA..

Watanzania wamekipokea na wanakitumia sana, kifupi kinauzika, huu ndio ukweli. Na mimi pia siku moja nilijaribu kukionja kutaka kujua kina ladha gani kinywaji hiki? Kinywaji hiki kinaitwa ENERGYDRINK
Je, ni wangapi tumeshawahi kusoma maelekezo yaliyoandikwa kwenye kopo la kinywaji hiki?
Baada ya kufungua na kuonja kwa mara ya kwanza kilinishinda kurudia fundo la pili, nikajua labda huenda ni gesi ngoja nikiache kwa muda kidogo, lakini hata baada ya kukirudia tena bado kilinishinda.
Nikajikuta navutiwa kusoma kimeungwa kwa kutumia viungio gani (ingredients). Hiki nilichokiona ndicho kilichonifanya niandike haya.
Malengo sio kuharibu biashara yako la!, ni kuwajuza Watanzania ambao wengi wetu lugha iliyotumika hapa ni changamoto kuijua, lakini pia wengi wetu huwa hatuna utamaduni wa kusoma hivi vibandiko kabla ya kutumia.

NI NINI NILICHOKIONA NA KIKANISTUA? HIKI HAPA!
1. INGREDIENTS (VIUNGIO)

Water sugar, Carbondioxide, Citric acid (E330), Taurine, Acidity Regulator Sodiumcitrates E331, Colour plain, Caramel E150a, CAFFEINE, Inositol, Preservative Potassium Sorbate E 202, Flavouring, Niacin, Pantothenic Acid, Vitamin B6, B12
Baada ya kuandikwa hivi viungia ukiangalia katika chupa hii kilichofatiwa ni muda wa matumizi na mahali kinapozalishwa. Lakini bado sikupata mantiki kwanini kimekuwa kikali mno, kwanini!!
Ghafla katika kudadisi zaidi ndipo chini ya maandishi hayo nikakuta maandishi mengine mapya, tena yamewekwa juu ya wino MWEKUNDU; kuashiria TAHADHARI bila kuandikwa neno lenyewe la

TAHADHARI.
Maandishi haya yameandikwa katika lugha ya Kiingereza yanasomeka hivi:
"High caffeine content (31.5mg/m100) Taurine(0.03%). Do not Drink More than 2battles per Day, Not suitable for persons Sensitive to Caffeine, Children, Pregnant, Breast feeding women and Avoiding Drinking before sleeping".

TAFSIRI YA MANENO HAYA KWA TUSIOJUA!
Ina kiasi kikubwa cha CAFFEINE, Usinywe zaidi ya chupa 2 kwa siku, Haifai kwa watu wenye matatizo na CAFFEINE, haifai kwa watoto, wajawazito, wanamama wanaonyonyesha na mwisho Usitumie muda mfupi kabla ya kwenda kulala kinywaji hiki.
Kwanini usinywe muda mfupi kabla hujakwenda kulala?
Kiwango cha 31.5mg/ml100 za caffeine ni nyingi kwa matumizi ya kawaida hivyo kuna hatari ya blood pressure kushuka ukiwa usingizini na hatimaye ukapoteza maisha, hivyo ni hatari kunywa wakati unakwenda kulala, inaathiri ubongo pia kwa watoto na hata watu wazima, pia kwa wajawazito na wanaonyonyesha.
Sasa Mzee wangu Bakhress ni watanzania wangapi wanatumia kinywaji hiki pasipo kujua? Kuna wajawazito watoto, wazee wote wanakibugia tu hawajui kinachoendelea katika kinywaji hiki mzee.
Sina uhakika, lakini inawezekana kikapita hata kiwango cha kwenye Heinken. Caffeine drink kuna baadhi ya nchi kama Ufaransa, Marekani, Hispania, Uingereza wamepiga marufuku kutokana na athari zake, hasa katika ubong
Hakuna shaka Mzee baada ya muda mfupi wa matumizi ya kinywaji hiki, watanzania wengi hasa kina mama na watoto na hata wanaume watapata matatizo haya;
Mfumo wa ubongo kuathirika (hili halina shaka), Vidonda vya tumbo, kwa wanamama wajawazito wanaobugia pia watazaa watoto wenye matatizo hasa akili kutokana na Ubongo kuathiriwa, wanaonyonyesha pia!
Mzee, kama ujumbe huu utakufikia naomba tuondolee janga hili, maana haya matatizo tuliyonayo yanatushinda. Watanzania wengi wataumia SIKU CHACHE ZIJAZO na hazipo mbali.
Caffeine ni nini?
Caffeine is a central nervous system stimulant of the methylxanthine class of psychoactive drugs. It is the world's most widely consumed psychoactive drug, but unlike many other psychoactive substances,
No photo description available.
 
Inasemekana hivyo...

Maana hata chips mayai inasemekana inamaliza nguvu za kiume...
 
Mkuu mbona haya maandishi ya tahadhari yapo ya kiswahili pia?
Yani wameweka kwa lugha mbili, Kiingereza na Kiswahili
IMG_20210627_172146_629.jpg

Sina kumbukumbu kama nshawai tumia hiki kinywaji since day 1 naanza kukifahamu na sijui lini ntakuja kukijaribu.
 
Inasemekana hivyo...

Maana hata chips mayai inasemekana inamaliza nguvu za kiume...
Ukitumia kwa muda mrefu eg. Kila siku na nadhani hata energy drinks ni hivo hivo. Sidhani kama nguvu za kiume zinapungua kwa kasi ni kitu kinachoanza taratibu tu mwisho ndo unaona matokeo kabisaa.
 
Kama kichwa cha mada kinavyeleza, wadau naomba kujua ukwel kwa kina kuhusu huu uvumi kuwa energy drinks zinamalza nguvu za kiume au vinginevyo mana nimekuwa nikinywa karb kilasiku...
Baada ya kunywa kila siku unajiskiaje, pumbu hazikuwashi au m....kundu hauna vipele? Nakuuliza hivyo kwa sababu hizi ni dalili zake, unawashwa sehemu za siri sana tena zile nyeti kisha kupungukiwa nguvu za kiume.
 
Back
Top Bottom