Hivi ni kweli CHADEMA (UKAWA) hakuna wazee?

Hivi ni kweli CHADEMA (UKAWA) hakuna wazee?

Wakuu habari ya leo.?

Muda si mrefu nimemsikia rais mstaafu wa awamu ya nne JK akisema wale wenzetu hawana hata wazee.

hii kauli ina maana gani hasa?
Amekurupuka!Nakumbuka kuna wazee wa CDM walitumwa kwenda kuongea na Dr Slaa alipokaa kando!
 
What is the qualification ya kuitwa mzee hadi lowassa na sumaye wasiitwe wazee

My take to u kabombe
Don't relay on politics mapenzi infront of facts.
Nawasilisha
 
What is the qualification ya kuitwa mzee hadi lowassa na sumaye wasiitwe wazee

My take to u kabombe
Don't relay on politics mapenzi infront of facts.
Nawasilisha
Mzee ni huyu
uploadfromtaptalk1469278114520.png
 
Back
Top Bottom