Hivi ni kweli ataweza?

Nabii hasifiwi nyumbani!!
Naam!
Sasa kuna wenzetu wa upinzani hapa Tz wametangaza wazi wazi kumuunga mkono Kenyatta nadhani nao wataunga mkono kauli hiii ya wanayemuunga mkono!!!
Vinginevyo ukigeu geu utaendelea kama kawaida yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…