Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,076
- 34,847
Ni kweli kabisa mkuu. Na hipo amekadiria tu ila idadi inaweza kuwa kubwa kuliko aliyoitaja.
Tuhakikishie coz no research no right to speak
Ni kweli kabisa mkuu. Na hipo amekadiria tu ila idadi inaweza kuwa kubwa kuliko aliyoitaja.
Tume ina kazi ngumu sana na inahitaji umakini mkubwa kufanya kazi zake