Hivi ni kweli ananipenda?

Hivi ni kweli ananipenda?

Atakuwa hakupendi huyo, niachie mimi...tena nipe na namba zake, wewe katafute mwingine huko chuoni.
 
umesoma seminary nin?

maana umekosa elimu ya kitaa/bording school zile zisizo za seminary
 
Kwel upo chuo mkuu? jaribu kuwa makin unapoandika, maelezo yako hayajitoshelez, kukupa ushaur n ngumu.
 
hahaha yani stori nyingine unaishia kucheka tu,,,sasa mleta thread ulifanya juhudi gan baada yakugundua haujamridhisha?,,,coz ata kama ilikua first time ila ukimaliza round ya kwanza it is obvious after few minutes utahitaji tena,,,,kama ulishindwa kufanya ivo una matatzo.. kamuone dr huhu
 
Umejuaje hujamtosheleza na ndo mara yako ya kwanza?Kwani ungemtosheleza nini kingetokea?!Hizi stori za kutunga pelekeni fb na mkiacha kukaa hostel sidhani ka mtakua mnajiunga na bundle.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom