Hivi ni kwanini wanaume wanakuwa waoga sana wanapofikia muda wa kwenda kutambulishwa?

Dont worry Men are like government bonds they take so long to mature. ujue hapo bado yupoyupo tu
 
Mwanaume kweli kama anakutaka yeye ndio anakuomba akajitambulishe,ukiona unapigwa chenga ujue imekula kwako.
my last relationship nilikuwa nampendea hela tu,kumbe jamaa akawa amefia kikweli,alivyoona namzungusha kwenda kujitambulisha,akaona isiwe tabu,nimeshtukia ameenda kujitambulisha mwenyewe, eti azuie nafasi isichukuliwe.
mpaka leo siamini kama niliweza kumkimbia yule psycho.
 
Nshamsindikiza jamaa aaah! sometime inaboa inabidi ujiandae mchuzi wa kutosha, kule hawatambulishi tu eti Baba huyu apa ni mumewangu.. wee,, kuna malipo kibao na kudhalilishana juu utadhani mtoto wao yuko peke yake.... :car:
 
my last relationship nilikuwa nampendea hela tu,kumbe jamaa akawa amefia kikweli,.
So unfair...alafu na sisi tukifanyiwa hivyo tunalalamika!! BACK TO TOPIC...Ukiona hivyo ujue either hana uhakika kama anataka mahusiano yaliyo serious na wewe au tayari anajua ila bado anataka kukutumia!
 
ukweli unabaki pale pale kwamba tunakuwa bado hatujafanya maamuzi ya uhakika. Regardless mmekaa muda gani au umezaa naye. Kama mtu ameamua kiukweli atakuwa tayari kupambana bila hofu yoyote.
 
Ndugu wanaJF kunadhana inapofikia kwenda kutambulishwa ukwen wanaume weng huwa wanapga chenga suala hili la kwenda kutambulishwa kwa wazaz au jamaa wa huyu mwanamke hv ni nini haswa kinachopelekea mpaka haya yote yanatokea au kunasababu zip mpka kupga chenga uwe umekaa nae mwanamke kwa muda au upo nae kwny mahusiano kwa muda ni nini haswa kinachokupelekea ukwepe utambulisho?

Kitendo cha kuogopa kwenda kwa wakwe kujitambulisha kinasababishwa na kutojiamini kwa mwanamme husika.
 
Tunaogopa kuingia mkenge na comitment. Na nyie mna makosa mnaruhusu mtu akukamue miaka mitano bila hata ya kujitambulisha kwenu aaaah jamaniiiiii msijirahisi namna hiyoooooooooooooooooooooooo
 
It differ
niliokutana nao mimi walikua wanapenda sana kutambulishwa hata kwa mama tu, wengine walikua wanafos kujileta wenyewe.
kwangu nilikua na wasi wasi kama hasa ni choice halisi.
 
Kama jamaa anapiga chenga beba wazazi wako uwapeleke huko unakoishi na huyo jamaa kwa zaidi ya miaka 5 ufanye utambulisho!
 
waswahili wanasema fanya makosa yoooooote lakini usikosee kuoa mke

we jamaa siasa kwel okay hata kama umempata wa kuridhika na wewe inakuwaje uogope mana hapo ndo ninashndwa kuelewa yan kwel demu unampenda lakn inakuwaje uogope kutambulishwa?
 
Mwanaume kweli kama anakutaka yeye ndio anakuomba akajitambulishe,ukiona unapigwa chenga ujue imekula kwako.
my last relationship nilikuwa nampendea hela tu,kumbe jamaa akawa amefia kikweli,alivyoona namzungusha kwenda kujitambulisha,akaona isiwe tabu,nimeshtukia ameenda kujitambulisha mwenyewe, eti azuie nafasi isichukuliwe.
mpaka leo siamini kama niliweza kumkimbia yule psycho.

cjakuelewa flesh ni mwanaume ndo alikwenda kujitambulisha au yan sija kupata fresh?
 
we jamaa siasa kwel okay hata kama umempata wa kuridhika na wewe inakuwaje uogope mana hapo ndo ninashndwa kuelewa yan kwel demu unampenda lakn inakuwaje uogope kutambulishwa?

Mi naogopa wanawake mnakuwa vigeu geu sasa napo taka kwenda posa huwa naamua kugaili usije ukanichenjia ukifika kwangu
 
Kama jamaa anapiga chenga beba wazazi wako uwapeleke huko unakoishi na huyo jamaa kwa zaidi ya miaka 5 ufanye utambulisho!

duh! Inawezekana kwel sasa nan atakuwa kamtambulisha mwenzie wewe au wazaz
 
Tatizo mtu anaweza kufika ukweni akajeuzwa mtaji, mara shuka la mjomba, ngombe, trekta,mbuzi sita, baiskeli ya babu, bajaji ya kaka mtu, kitenge, blanketi, pombe, pesa cash.
Nani anataka majukumu hayo,
Bora tuishi hivyohivyo tukutane na hao wazazi wake kwenye misiba tuu,tena siku ya kuzika maana ndo huwa haina muda wa story za kizushi.
 
Ndugu wanaJF kunadhana inapofikia kwenda kutambulishwa ukwen wanaume weng huwa wanapga chenga suala hili la kwenda kutambulishwa kwa wazaz au jamaa wa huyu mwanamke hv ni nini haswa kinachopelekea mpaka haya yote yanatokea au kunasababu zip mpka kupga chenga uwe umekaa nae mwanamke kwa muda au upo nae kwny mahusiano kwa muda ni nini haswa kinachokupelekea ukwepe utambulisho?

Ni hivi, unakuta mtu bado hujamfahamu vizuri anaanza kung'ang'ania mambo ya kutambulishwa kwa wazazi, inabidi mtu ujiulize haraka ya nini hapa au kuna kitu nafichwa ili nikauziwe mbuzi kwenye gunia? Wanawake muwe na subira.
 
waswahili wanasema fanya makosa yoooooote lakini usikosee kuoa mke

Ukikosea mke mwenye wivu, gubu, mchoyo, mlafi nyumba itakuwa haikaliki ndugu jamaa na marafiki kinakuwa kituo cha polisi nyumbani kwako
 
Mh hapo kuna tatizo kama mtu umeishi nae five years na bdo ana sua sua kujitambulisha,sims like bdo hajaamua kuwa na wewe.But amekupotezea muda mwingi sana.Mkalishe chini muongee nae akupe mpango wake asije kukupotezea miaka mingine anakuzeesha while you still have alot of opportunity outside there.
 
Back
Top Bottom