Hivi ni kwanini wanaume wanakuwa waoga sana wanapofikia muda wa kwenda kutambulishwa?

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
350
Ndugu wanaJF kunadhana inapofikia kwenda kutambulishwa ukwen wanaume weng huwa wanapga chenga suala hili la kwenda kutambulishwa kwa wazaz au jamaa wa huyu mwanamke hv ni nini haswa kinachopelekea mpaka haya yote yanatokea au kunasababu zip mpka kupga chenga uwe umekaa nae mwanamke kwa muda au upo nae kwny mahusiano kwa muda ni nini haswa kinachokupelekea ukwepe utambulisho?
 
chovya chovya habit kwa hiyo anaona kutambulishwa ni kama kupigwa kitanzi
 
Unakuwa na choice zaidi ya 2 kwa hiyo ukikubali tu umejipiga kitanzi
 
sasa cndo aachie moja achague moja au kama vp aende 2uu kote kote

Ni moja ya maamuzi mazito kwakweli, fikiria je wewe ungekuwa unatongoza sasa una majamaa 2 yote unayapenda sijui ungechagua yupi na kumuacha yupi ni mtihani sana.
 
Back
Top Bottom