Hivi ni kwanini Marekani hakuna malaria?

Update: 30/06/2021
China wamefanikiwa kutokomeza Malaria baada ya kutumia dawa jamii ya DDT. Wakati huo huo wako busy kutengeneza mabilioni ya dollar kama faida kwa kuuza dawa za malaria kwa nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara.
1A67B1D7-2778-41F5-8808-146AEEDCAC82.jpeg
 
Du!hakuna uhusiano wa maendeleo ya nchi na kuwepo kwa mdudu Mbu, simple explaination ya kwann Usa hakuna Malaria ni kwamba hakuna Vector wake ambaye ni Mbu kwakuwa mazingira ya Amerika hayaruhusu mbu ki survive nchi zilizo ktk ukanda wa kitropiki na zenye maendeleo makubwa km Brazil zina Malaria kama kawa na Zica juu.
Acha undezi... mbu walikiwepo na maralia ilikiwepo Dawa ya DDT ndio iliweza kufanya kazi 100% kutokomeza wadudu wengi wakiwemo mbu.. issue ikawa sumu ile Nyuki na wadudu wengine ambao ni faida kwa binadamu na mazao nao pia walikufa kwa wingi Africa tuliletewa na upingaji kama kawaida yetu wazungu wanataka kutuua... maana raia walishaanza kunyunyuzia kwenye mashamba yao ya kahawa,mahindi n.k sumu ile ni hatari balaa naikumbuka haswa DDT.
Hiyo dawa ukiitumia hutokuta jani hata moja la mmea limeliwa na mdudu yeyote
 
Nisaidie undezi ndio nini km DDT ndio suluhisho kwani ilifeli Africa au ulikuwa hujazaliwa wakati dawa ya Ukoko ikipuliziwa Tz ,mbu anaishi kwenye mazingira ya joto joto USA hali yake ya hewa most of time baridi fala wewe,simu ya tecno smart unayo unashindwa hata ku Google ukapata taarifa !
Soma topic ya Entomology na parasitology utajua kwanini USA hakuna Malaria Paka we!hlf sorry kwa kukujibu kwa Hasira mbwa we.
 
Mkuu,,hii chanjo kwa ajiri ya watoto tuu. Wakubwa je itafika lini!!!
 
Back
Top Bottom