Hivi ni kwanini Marekani hakuna malaria?

Hata mimi mukinipa kuongoza Nchi hii kwa mwaka mmoja malaria Ingepotea. Kutokana na Mentality zetu waafrika tunatibu Maradhi lakini hakuna anayeschughulikia source ya Maradhi ni ipi?
Matokeo yake vijidudu vya Maleria kila mwaka vinabadilika na inabidi upate dawa nyengine. Lakini source ya Maleria ni uchafu na Maji yanayotuama na haijawahi kubadilika. Hili ndio lilikuwa suala kubwa la kushughulikia.
 
Kipindi hiki tunapoona wenzetu wakifanya kila lililo ndani ya uwezo wao kupata chanjo na kutokomeza Corona, ni wakati wa kujiuliza sasa, kwamba ni kwanini nguvu kama hizo za kupata chanjo hazielekezwi kwenye malaria ambayo inaua zaidi ya watu milioni 1 kila mwaka? Au kisa wanaokufa kwa malaria wapo Afrika? Badala yake wanakazana kutengeneza dawa na kujipatia matrillion ya faida. Ni wakati sasa uamuzi ufanyike, njia waliotumia na sisi tuitumie hiyo hiyo.
 
Hamna mbu, kama wapo wana nguvu ya soda tu
Mbu wapo tena wengi sana wakati wa summer; ila kila mji una vector control department ambayo hunynyizia dawa mji wote kuwaua. Hapa kwetu huwa kuna gari linalopita kunyunizia mitaani kuanzia saa moja usiku halafu baadaye kuna ndege mbile ndogo ambazo pia zitapita na kusweep eneo lote. Nile fever inatokana na mbu
 
Mwanzoni mwa miaka ya 60 DDT ilitumika nchi nzima na madhara ya Maralia yalipungua sana; ila sasa sijui ilikuwaje DDT ikapigwa marufuku na Malaria ikajisimika miongoni mwetu. Kwa bahati mbaya hata tukitumia DDT Tanzania, hatutaachana na malaria mpaka pale nchi zote za Afrika zitakapofanya hivyo.
 
Malaria ni kwa tropical countries ndugu yangu

Hata NBI cases za malaria ni very minimal...whether.!!
 

Hapo kwenu wapi
 
Kuna kipindi early 2000s SOUTH AFRICA nao hawakuwa na malaria! New Delhi pia sikuwahi kuskia kitu Malaria.
Yap Cape Town ilikua hakuna malaria mpaka miaka ya karibuni maana walikua walikua wanatumia dawa sana mpaka kwenye mitaro na bara bara zao zilikua zinasafishwa kwa maji yenye dawa uchafu ndio unaeneza hao mbu kuzaliana kama Johannesburg...
 

Binafc navojua mbu wanapenda sehemu chafu. Nchi kama za uarabuni ni safi mno, mbu wapo but hawaleti malaria kama wa huku.

Kwa marekani ebu fanya tafiti kwa mara nyingine, haiwezekani nchi chafu kama ile isiwe na mbu wa malaria.
 
Binafc navojua mbu wanapenda sehemu chafu. Nchi kama za uarabuni ni safi mno, mbu wapo but hawaleti malaria kama wa huku.

Kwa marekani ebu fanya tafiti kwa mara nyingine, haiwezekani nchi chafu kama ile isiwe na mbu wa malaria.
Wanafanya fummigation sana kwenye maeneo yenye mbu, hata hiyo DDT wanayotukataza huwa wanatumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…