FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,872
- 46,978
- Thread starter
-
- #81
Kama naona vizuri ni sehemu ndogo sana ya USA imepitiwa na hio kivuli chako cha pink sasa sijui unathibitisha nini.hicho kivuli cha pink ndio nchi za kitropical zote dunian...
Pamoja na hayo, malaria inaachwa Africa kwa makusudi ili kucontrol population pamoja na sababu za kiuchumi kwa western economies. Kumbuka Africa hutumia dollar billion 20 kila mwaka as the total cost + loss inayotokana na malaria kila mwakaMbu hakai maeneo ya baridi kali barafu imetanda, kwa hiyo nchi nyingi ambazo zina snow ime-cover sehemu kubwa malaria wanasikia tu magazine na news
Mzee kuna kakiwanda niliona juzi kakizinduliwa pale Kibaha ka kuzalisha mbu!Huhitaji technology yeyote. Mbu huzaana kutokana na mazingira. Ukiweka mazingira sawa kuondoa uwezekano wa mbu kazaliana basi utakuwa umewadhibiti.
Wako wangapi?Mbu sehem zenye baridi hawakaagi, mafinga Na mapanda mbu wa kuhesabu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mbu wa kule wana ukubwa kama vifaranga ndio maana sisi tunasema hakuna mbu
DDT waliihusisha na uwezekano wa kupata kansa DDT imepigwa marufuku duniani,ila kiubishiubishi kuna baadhi ya maeneo inatumika!Mi hapa ndio huwa nashindwa kuelewa,nakumbuka miaka ya nyuma sana kulikuwa kuna mradi wa kutokomeza malaria, walikuwa wanapulizia dawa kwenye nyumba,ulikuwa unakaa mpaka mieze 6 hujaona wala kusikia Mbu,sijui kwanini wameachana na hii mikakati ya kutokomeza malaria nchini kwetu.
Mbu waliwekewa vikwazo na marekani.
jamani mi nimekulia dar tangu nzaliwe...nliwahi kuumwa malaria mara kwa mara nkiwa primary..bt nlipofika miaka 12 mwaka 2005 sijaumwa malaria mpaka leo hii..lakini nnaoishi nao nyumbani wanaugua malaria kila baada ya mda..hata mazingira ikifika jioni kuna mbu sana wanashambulia hatari.mda meingine najisahau bila kuchomeka neti mbu wananingata sana.
sasa nna zaid ya miaka kumi siijui hospitali wala malaria,wala typhoid wala ugonjwa wowote. nlizoea ile harufu bt now nkiingia hospital ile harufu ya madawa nkiiskia najiskia kutapika kweli.je ntakuwa na nini kwenye mwili wangu?
Kwahiyo 1950’s huko Marekani mbu walikuwa wanatokea wapi?Mbu haishi kwenye baridi