Kifimbocheza
JF-Expert Member
- Aug 7, 2008
- 494
- 121
USA ni kubwa kama bara, kuna sehemu zina hali ya hewa kama ya tzHali ya hewa ndugu
Labda Trump akichukua nchi atawaruhusu, hahahahhahhahah😀😀😀😀Mbu waliwekewa vikwazo na marekani.
Baathi-BaadhiWe unazungumzia USA hakuna Malaria
Zanzibar hapo hakuna Malaria kabisa
Huku Bara wazungu wanafanya miradi yao wakishirikiana na baathi ya wazawa wanapiga hela
Kifupi ni Dili
[emoji15] [emoji15] [emoji15]mbu wa kule wana ukubwa kama vifaranga ndio maana sisi tunasema hakuna mbu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mbu waliwekewa vikwazo na marekani.
Hata Arusha hakuna Malaria za kiboya.Hata Kilimanjaro hapo haipo mbona
Mkuu ni Kilimanjaro ya wapi hasa unayoizungumzia hakuna malaria au unamaanisha juu ya mlima??Hata Kilimanjaro hapo haipo mbona
Mimi wa kwanza niliumwa na malaria nikiwa bording na wanafunzi wenzetu kibao tu. Kilimanjaro maleria ipoKilimanjaro malaria ipo@ forever
Hiyo DDT iliwaletea madhara gani wao? Na ni tofauti na hizi ngao zinazowekwa kwenye neti?Walitumia DDT kwenye miaka ya 50 kuwatokomeza lakini huku africa wanasema tusiitumie kwamba ina madhara kwenye mazingira.
EXACTLY IT IS TROPICAL DISEASE,NA SIO MBU WOTE WANAAMBUKIZA MALARIA,Malaria ni tropical disease.
Acha uongo na propaganda wwWalitumia DDT kwenye miaka ya 50 kuwatokomeza lakini huku africa wanasema tusiitumie kwamba ina madhara kwenye mazingira.
Mi hapa ndio huwa nashindwa kuelewa,nakumbuka miaka ya nyuma sana kulikuwa kuna mradi wa kutokomeza malaria, walikuwa wanapulizia dawa kwenye nyumba,ulikuwa unakaa mpaka mieze 6 hujaona wala kusikia Mbu,sijui kwanini wameachana na hii mikakati ya kutokomeza malaria nchini kwetu.Walitumia DDT kwenye miaka ya 50 kuwatokomeza lakini huku africa wanasema tusiitumie kwamba ina madhara kwenye mazingira.