kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,638
- 5,145
Nicolas Seausescu wa Romania 1965-1989, Iddi Amini wa Uganda 1971-1979, Mobutu Seseseko wa Zaire 1965-1997, Robert Mugabe 1987-2017 na madikteta wenzao wengi, pamoja na mambo kadhaa mazuri walofanya kwenye inchi zao hukumbukwa pekee kwa ukatiri waloufanya enzi za uongozi wao dhidi ya RAIA na washindani wao wa kisiasa.
Kuna la kujifunza hapa kwamba hata ufanye mazuri kadhaa yatafunikwa na mambo ya kikatili yatayo shuhudiwa kwenye utawala wako.
Kuna la kujifunza hapa kwamba hata ufanye mazuri kadhaa yatafunikwa na mambo ya kikatili yatayo shuhudiwa kwenye utawala wako.