Hivi ni kwanini madikteta pamoja na mambo kadhaa mazuri wafanyayo hukumbukwa kwa maovu tu walotenda?

kagoshima

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
2,629
5,134
Nicolas Seausescu wa Romania 1965-1989, Iddi Amini wa Uganda 1971-1979, Mobutu Seseseko wa Zaire 1965-1997, Robert Mugabe 1987-2017 na madikteta wenzao wengi, pamoja na mambo kadhaa mazuri walofanya kwenye inchi zao hukumbukwa pekee kwa ukatiri waloufanya enzi za uongozi wao dhidi ya RAIA na washindani wao wa kisiasa.

Kuna la kujifunza hapa kwamba hata ufanye mazuri kadhaa yatafunikwa na mambo ya kikatili yatayo shuhudiwa kwenye utawala wako.
 
Yaani Makonda tutamkata kama Lowassa fisadi hawezi kwenda tena Ikulu tunza kwenye kumbukumbu hii kitu.bosi wake atawekwa mtu kati, mgombea ajaye kupitia ccm ni Mwinyi, Majaliwa, Jafo na bashiru kusindikiza. kati yao.
 
Nicolas Seausescu wa Romania 1965-1989, Iddi Amini wa Uganda 1971-1979, Mobutu seseseko wa Zaire 1965-1997,Robert Mgabe 1987-2017 na madicteta wenzao wengi, pamoja na mambo kadhaa mazuri walofanya kwenye inchi zao hukumbukwa pekee kwa ukatiri waloufanya enzi za uongozi wao dhidi ya RAIA na washindani wao wa kisiasa.

Kuna la kujifunza hapa kwamba hata ufanye mazuri kadhaa yatafunikwa na mambo ya kikatili yatayo shuhudiwa kwenye utawala wako
Hebu mkuu sema mwenyewe Awamu ya tano utaikumbuka kwa lipi mfano??
 
Umepngea vizuri lakini mtoe Robert Mgabe bwana yeye alikua sio dictector bali mtetezi wa waafrica
Ulisha sikia anaua watu wake?

Kwa taarifa yako wananchi wengi walikua wanampenda kuliko ulivyo mezeshwa matango pori
Na kilo tatizo lake ni kutotengeneza lizazi kipua chenyr maono yake ili warithiilimcost tatizo wife wake
 
Back
Top Bottom