Rekebisha maandishi kidogo tu utapata jibu. anza na hivi xmass na mwaka mpya kipi kinaanza?
Ukiargue kwenye western approach pia utapata jibu lakini kwenye eastern fraternity unaanza mwaka mpya ha hakuna x- mass ila Maulid.. ukiruge ki layman huwezi kwenda kwenye x mass kabla ya mwaka mpya maana unaanza mwaka mpya (January) mdio inakuja x mass (Decemba) kwa mtoto anayefikiria wali hali kadhalika ataanza na x-mass then mwaka mpya..upo?