Hivi ni dawa hipi nzuri kwa mtu aliyeumwa na nyuki?

ChamaDola

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
3,431
2,804
Wakuu,
Nimeumwa na nyuki mkononi,na nimevimba!
Ningependa kujua dawa nzuri ya kusaidia kuupunguza na kuuondoa huu mvimbo!
Asanteni.
 
ungepawahi wkt unaumwa tu ungepasugua kale kwa mwiba huwa kanadondoka kabla sumu haijaingia lkn maumivu ya awali lzm uyapate ila kuvimba no.. ngoja waje wanaojua tiba kwa hatua hiyo ulofikia
 
Dawa yake ni kumuua nyuki aliekuuma.

Kila anavyozidi kwenda Mbali ndivyo unavyozidi kuvimba.
 
Back
Top Bottom