Hivi NHIF ni taasisi ya pesa hadi iikopeshe Serikali tsh 208 bilioni? Waziri husika ajipime!

Banks pamoja na makampuni makubwa ya insurance na pension funds zote hizo rasmi zinatambulika kama taasisi za fedha (financial institutions).

Wanachopishana ni model of business operation lakini wote wanakopesha sema labda insurance na pension funds nchi nyingi masharti yake ni kwenye safe investments i.e kununua shares za kampuni ambazo ni stable, bonds za makampuni stable (AAA ratings) au bonds za serikali.

Ndio msingi wa biashara ya credit rating agencies kuwashauri financial institutions wapi safe kuwekeza hela (investing) au kukopesha. Kwa Tanzania serikali inajikopesha, ailipi madeni on time, aipeleki michango on time.

Credit rating agencies wakitupa alama ya junk Mwigulu anatuambia wanaupiga mwingi nchi imepanda daraja.

Ukielewa msingi wa kukopeshana duniani hadi Magufuli kupewa mikopo na private banks ina maana walikuwa na imani nae kubwa sana kwenye uwezo wake wa kulipa. Washaangalia vipimo vyote kama anakopesheka.
 
Back
Top Bottom